ዑደት ፕረዚደንት ባራክ ኦባማ

Rais Barack Obama alipozuru Dar es Salaam, Tanzania 2013

Rais Barack Obama akizungumza na wazima moto alipotembelea eneo la Mountain Shadow, Colorado Springs baada ya kuingiliwa na moto, June 29, 2012.

Rais Obama akizungumza kuhusu bajeti yake ya mwaka 2013 na mpango wa vyuo vikuu vidogo huko Northern Virginia Community College, Virginia, Februari 2012.

Rais Obama akipeana mkono na Rais wa China Jinping katika ofisi yake White House Februari, 2012. (Reuters)

Rais Obama akipeana mkono na Chansela wa Ujerumani Angela Merkel White House, June 7, 2011.

Rais Obama akikutana na marais kadha wa Afrika wakati wa mkutano mkuu wa marais mjini Washington.

Katika picha hii Rais Obama na baadhi ya maafisa wake wa juu, ikiwa ni pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wakati huo Hillary Clinton, na makamu rais Joe Biden wakifuatilia shambulizi lililomuuwa Osama bin Laden.

Wanajeshi wa Marine wa Marekani wakimwangalia Rais Barack Obama kwenye television wakati anatangaza kuuawa kwa Osama Bin Laden, May 2, 2011.

Rais Obama akizungumiza haki za binadamu kwa Watibet na Dalai Lama

Rais Obama akutana na rais wa China Hu Jintao kando ya mkutano wa G-20 huko Seoul, South Korea, Nov. 11, 2010. (AP Photo/Charles Dharapak)

Rais Obama akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja wa waandishi wa habari na Rais wa China Hu Jintao White House Jan, 19, 2011

Rais Obama na Rais wa Afghanistan Hamid Karzai wakitia saini makubaliano ua ushirikianao mjini Kabul, Afghanistan, May 2, 2012.

Rais Barack Obama katika picha kutoka miaka yake ya mwanzoni kama Seneta katika jimbo la Illinois hadi kuchaguliwa kwake na kuwa Rais wa Marekani.